Habari Wana TASAFIC,
Tunapenda kuwatangazia kwamba uchaguzi wa viongozi wapya wa Shirikisho la Wanafunzi wa Tanzania nchini China (TASAFIC) utafanyika hivi karibuni. Tunawahimiza wanachama wote kushiriki kwa wingi katika mchakato huu muhimu. Hii ni fursa nzuri ya kuchagua viongozi watakaotuwakilisha na kuongoza Shirikisho letu kwa kipindi kijacho.