………
VIPAJI VYETU
Mbali na wanafunzi wa kitanzania kuja masomoni Nchini China , hawaweka mbali kuruhusu mwili kujifunza na kuonyesha vipaji vyao. Huyu ni Majaliwa B. Ntazimila anayesoma China kwa zaidi ya miaka 6 ambapo mbali na kupata nafasi mbalimbali za uongozi pia anavipaji vyake.