TASAFIC inapenda kuchukua nafasi hii kuwaarifu wanachama wote wa Shirikisho kuhusu ujio wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, ambaye atakuwa na ziara ya kikazi jijini Beijing, China. Tunawakaribisha kushiriki kwa njia yoyote itakayowezekana katika shughuli zinazohusiana na ziara hii muhimu tarehe 2-6 Sept 2024