….

TAFASIC MAGAZINE -Septemba

Uongozi wa TASAFIC unachukua nafasi hii kutangaza uzinduzi wa jarida jipya la TASAFIC, ambalo litachapishwa kila mwezi. Gazeti hili linalenga kurahisisha usambazaji wa taarifa muhimu kwa manufaa ya wanafunzi wote wa Kitanzania, ndani na nje ya China.

TASAFIC MAGAZINE – Octoba