Habari Wanashirikisho,
Uongozi wa TASAFIC unapenda kuwatangaza washindi wa tuzo zetu za mwaka 2023-2024 kama ifuatavyo:
Pia, uongozi wa Shirikisho unapenda kuendelea kutoa hamasa na kuhimiza wanafunzi kujitokeza, kwani sio tu kwa ajili ya kushinda, bali pia kuonyesha jinsi gani wanafunzi wa Kitanzania wana uwezo mkubwa.
Hongereni sana!